• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 16, 2019

  KOCHA MPYA WA SIMBA SC, MBELGIJI SVEN LUDWIG VANDENBROECK ANAVYOPIGA KAZI HADI RAHA

  Kocha mpya wa Simba SC, Sven Ludwig Vandenbroeck akiongoza mazoezini ya timu hiyo jana mjni Dar es Salaam baada ya kuanza kazi rasmi akichukua mikoba ya Mbelgiji mwenzake, Patrick Aussems aliyefukuzwa mapema mwezi huu
  Sven Ludwig Vandenbroeck akiwa na Msaidizi wake, Suleiman Matola kwenye mazoezi 
  Sven Ludwig Vandenbroeck ameonyesha ni hodari katika kuongoza kwa vitendo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA WA SIMBA SC, MBELGIJI SVEN LUDWIG VANDENBROECK ANAVYOPIGA KAZI HADI RAHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top