• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 28, 2019

  EDERSON ALIMWA NYEKUNDU MAPEMA, MAN CITY YACHAPWA 3-2

  Refa Martin Atkinson akimuonyesha kadi nyekundu kipa wa Manchester City, Ederson dakika ya 12 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Wolverhampton jana Uwanja wa Molineux. Wolves ilishinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Adama Traore dakika ya 55, Raul Jimenez dakika ya 82 na Matt Doherty dakika ya 89, baada ta Man City kutangulia kwa mabao ya Raheem Sterling dakika ya 25 na 50 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: EDERSON ALIMWA NYEKUNDU MAPEMA, MAN CITY YACHAPWA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top