• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 15, 2019

  MANCHESTER UNITED YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA EVERTON

  Mason Greenwood akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha dakika ya 77 ikitoa sare ya 1-1 na Everton iliyotangulia kwa bao la kujifunga la Victor Lindelof dakika ya 36 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top