• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 19, 2019

  YANGA SC YAWATAMBULISHA RASMI NIYONZIMA NA NCHIMBI BAADA YA KUWASAINISHA MIKATABA

  Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandsi Hersi Said (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, kiungo Mnyarwanda Haruna Niyonzima baada ya kusaini mkataba wa kujiunga tena na timu hiyo leo mjini Kigali, Rwanda  
  Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandsi Hersi Said (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Ditram Nchimbi baada ya kusaini mkataba wa kujiunga tena na timu hiyo jana mjini Kampala, Uganda  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YAWATAMBULISHA RASMI NIYONZIMA NA NCHIMBI BAADA YA KUWASAINISHA MIKATABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top