• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 19, 2019

  BAO LA BALE LAKATALIWA BARCA YATOA SULUHU NA REAL MADRID

  Gareth Bale akistaajabu baada ya bao lake kukataliwa jana akidaiwa kuotea kipindi cha pili jana katika mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Barcelona uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Nou Camp 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAO LA BALE LAKATALIWA BARCA YATOA SULUHU NA REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top