• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 12, 2019

  COUTINHO ASHINDILIA LA TATU, BAYERN MUNICH YAMOA MOURINHO 3-1

  Philippe Coutinho akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la tatu dakika ya 64 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Tottenham Hotspur jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Kingsley Coman dakika ya 14 na Thomas Muller dakika ya 45, wakati la Spurs lilifungwa na Ryan Sessegnon dakika ya 20. Bayern Munich imeongoza kundi kwa pointi zake 18, ikifuatiwa na Spurs pointi 10 na zote zinasonga mbele hatua ya 16 Bora 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: COUTINHO ASHINDILIA LA TATU, BAYERN MUNICH YAMOA MOURINHO 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top