• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 24, 2019

  FRANK DOMAYO 'CHUMVI' ASAINI MKATABA MPYA WA KUENDELEA KUICHEZEA AZAM FC HADI MWAKA 2022

  Nahodha Msaidizi wa Azam FC, Frank Domayo 'Chumvi' akisaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2022
  Frank Domayo 'Chumvi' akionyesha dole gumba lake baada ya kuongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Azam.

  Frank Domayo akisaini mkataba huo mpya mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat'
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FRANK DOMAYO 'CHUMVI' ASAINI MKATABA MPYA WA KUENDELEA KUICHEZEA AZAM FC HADI MWAKA 2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top