• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 09, 2019

  TANZANIA YAANZA VYEMA CECAFA CHALLENGE YA WANAWAKE U17, YAICHAPA ERITREA 5-0 KAMPALA

  Mchezaji wa Tanzania, Esther Mabanza akimtoka mchezaj wa Eritrea katika mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa Wasichana chini ya umri wa miaka 17, CECAFA U17 Womens Challenge leo mjini Kampala, Uganda. Tanzania Bara imeshinda 5-0 mabao ya Aisha Masaka mawili dakika ya 21 na 41 na Joyce Meshack matatu dakika za 29, 54 na 62‬ 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANIA YAANZA VYEMA CECAFA CHALLENGE YA WANAWAKE U17, YAICHAPA ERITREA 5-0 KAMPALA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top