TANZANTES TAYARI WAPO ALGERIA KUSHIRIKI MICHUANO MAALUM YA WANAWAKE U20 AFRIKA
Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 20, Tanzanites wakiwa tayari kwa chakula cha usiku hoteli ya Hyatt Regency mjini Algiers, Algeria kwa ajili ya kushiriki mashindano maalumu
0 comments:
Post a Comment