• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 26, 2019

  MARTIAL APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA NEWCASTLE 4-1

  Anthony Martial akishangilia baada ya kuifunga mabao mawili Manchester United dakika za 24 na 51 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya Man United yamefungwa na Mason Greenwood dakika ya 36 na Marcus Rashford dakika ya 41, wakati bao pekee la Newcastle United limefungwa na Matty Longstaff dakika ya 17 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MARTIAL APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA NEWCASTLE 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top