• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 19, 2019

  STERLING APIGA MBILI MAN CITY YATINGA NUSU FAINALI CARABAO

  Raheem Sterling (kushoto) akishangilia baada ya kuwafungia mabao mawili mabingwa watetezi, Manchester City dakika za 50 na 70 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyej, Oxford United kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup usiku wa jana Uwanja wa The Kassam. Bao lingine la Man City lilifungwa na Joao Cancelo dakika ya 22, wakati la Oxford United lilifungwa na Matt Taylor dakika ya 46 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STERLING APIGA MBILI MAN CITY YATINGA NUSU FAINALI CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top