Kipa wa Manchester United, David de Gea akisikitika baada ya kufanya makosa yaliyomuwezesha Ismaila Sarr kuifungia Watford bao la kwanza dakika ya 50 Mashetani Wekundu wakichapwa 2-0 na wenyeji wao hao kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vicarage Road. Bao la pili la Watford limefungwa na Troy Deeney kwa penalti baada ya Aaron Wan-Bissaka kumchezea rafu Sarr PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment