• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 16, 2019

  AZAM FC YAICHAPA GREEN WARRIORS 5-1 KATKA MCHEZO WA KIRAFIKI CHAMAZI

  Mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa akichukua mpira kwa ustadi wa hali ya juu mbele ya beki wa Green Warriors katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 5-1, mabao yake yakifungwa na washambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma mawili, Muivory Coast Richard Ella Djodi na viungo Joseph Mahundi na Iddi Kipagwile kwa penalti
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC YAICHAPA GREEN WARRIORS 5-1 KATKA MCHEZO WA KIRAFIKI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top