• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 07, 2019

  KANE APIGA MBILI SPURS YAICHAPA BURNLEY 5-0 TOTTENHAM

  Nahodha Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika ya nne na 54 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Mabao mengine ya timu ya kocha Mreno, Jose Mourinho yamefungwa na Lucas Moura dakika ya tisa, Son Heung-Min dakika ya 32 na Moussa Sissoko dakika ya 74 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KANE APIGA MBILI SPURS YAICHAPA BURNLEY 5-0 TOTTENHAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top