• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 15, 2019

  MAREHEMU TIGANA, MCHUNGA, BAMBAGA NA MSOMA SIMBA SC 1996

  Kikosi cha Simba SC mwaka 1996 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam kutoka kulia waliosimama ni Steven Nemes, Athumani China, George Masatu, Alphonce Modest, Ally Yussuf ‘Tigana’ (sasa marehemu), Nico Bambaga (sasa marehemu), Mathias Mulumba, Mchunga Bakari (sasa marehemu), Mwameja Mohamed na aliyekuwa mfadhili, Azim Dewji. 
  Waliochuchumaa kutoka kulia ni Akida Makunda, Mustafa Hoza, Duwa Said, Hussein Marsha, Thomas Kipese, Rajab Msoma (sasa marehemu) na Deo Mkuki.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAREHEMU TIGANA, MCHUNGA, BAMBAGA NA MSOMA SIMBA SC 1996 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top