• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 24, 2019

  NCHIMBI ALIVYOWASILI OFISI MPYA, JANGWANI LEO NA KESHO ANAKWENDA KUUNGA NA KIKOSI CHA YANGA MBEYA KUANZA KAZI RASMI

  Katibu Mkuu Dk. David Ruhago leo akimkaribisha mchezaji Ditram Nchimbi kwenye makao Makuu ya klabu, Jangwani Jijini Dar es Salaam leo, tayari kuungana wachezaji wenzake kadhaa kwenda Mbeya kesho kuungana na timu kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Ijumaa dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NCHIMBI ALIVYOWASILI OFISI MPYA, JANGWANI LEO NA KESHO ANAKWENDA KUUNGA NA KIKOSI CHA YANGA MBEYA KUANZA KAZI RASMI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top