• HABARI MPYA

  Sunday, December 22, 2019

  WILLIAN APIGA ZOTE MBILI KUMNYAMAZISHA MOURINHO

  Willian akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea mabao yote mawili dakika za 12 akimalizia pasi ya Mateo Kovac na ya 45 na ushei kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur inayofundishwa na kocha wao wa zamani, Jose Mourinho kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WILLIAN APIGA ZOTE MBILI KUMNYAMAZISHA MOURINHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top