• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 14, 2019

  SALAH APIGA ZOTE MBILI LIVERPOOL YAITANDIKA WATFORD 2-0

  Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 38 na 90 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. Liverpool inafikisha pointi 49 baada ya ushindi huo na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 10 zaidi ya Leicester City wanaofuatia katika nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH APIGA ZOTE MBILI LIVERPOOL YAITANDIKA WATFORD 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top