• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 14, 2019

  ‘KAPTENI ’ BOCCO ALIVYO FITI SIMBA SC KUELEKEA MECHI DHIDI YA WATANI, YANGA JANUARI 4

  Nahodha wa Simba SC, John Raphael Bocco akiwaongoza wachezaji wenzake kuteremka banda la beki ya Equity leo asubuhi viwanja vya SabaSaba, barabara ya Kilwa, Dar es Salaam kushiriki uzinduzi wa Kadi ya Mashabiki wa klabu hiyo. Bocco ambaye amekuwa nje kwa maumvu tangu Agosti mwaka huu, kwa sasa anaonekana yuko fiti kuelekea mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC Januari 4, mwakani baada ya kutibiwa hadi Afrika Kusini.  
  Kiungo Ibrahim Ajbu akiteremka banda la benki ya Equity leo asubuhi viwanja vya SabaSaba, barabara ya Kilwa, Dar es Salaam kushiriki uzinduzi wa Kadi ya Mashabiki wa klabu hiyo.
  Wachezaji wa Simba SC wakiwa banda la beki ya Equity leo asubuhi viwanja vya SabaSaba, barabara ya Kilwa, Dar es Salaam leo  
  Beki anayeweza kucheza kama kiungo pia, Erasto Nyoni akiingia banda la beki ya Equity leo asubuhi viwanja vya SabaSaba, barabara ya Kilwa, Dar es Salaam leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ‘KAPTENI ’ BOCCO ALIVYO FITI SIMBA SC KUELEKEA MECHI DHIDI YA WATANI, YANGA JANUARI 4 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top