Afisa Habari wa klabu ya Simba, Hajji Sunday Manara akiwa na kocha mpya Mbelgiji, Sven Ludwig Vandenbroeck mwenye umri wa miaka 40 baada ya kuwasili nchini jana kwa ajili ya kusaini mkataba wa kujiunga na klabu hiyo kufuatia kuachana na timu ya taifa ya Zambia. Vandenbroeck aliyezaliwa Septemba 22 mwaka 1979 mjini Vilvoorde, Ubelgiji anazidiwa mwaka mmoja na msaidizi wake, Suleiman Matola aliyezaliwa Aprili 24 mwaka 1978 mjini Kigoma
2026 NFL Draft: Penn State QB Drew Allar goes to Steelers as possible Aaron
Rodgers heir
-
Drew Allar played in six games last season due to an ankle injury.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment