• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 26, 2019

  ARSENAL YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA AFC BOURNEMOUTH

  Kiungo Mjerumani, Mesut Ozil akimtoka Mcolombia, Jefferson Lerma kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Vitality mjini AFC Bournemouth. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Dan Gosling akianza kuwafungia wenyeji, Bournemouth dakika ya 35 kabla ya Pierre-Emerick Aubameyang kuisawazishia Arsenal dakika ya 63 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA AFC BOURNEMOUTH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top