• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 21, 2019

  MESSI NA SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCELONA YAICHAPA ALAVES 4-1

  Kutoka kulia Lionel Messi, Luis Suarez, Antoine Griezmann na Arturo Vidal wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa Barcelona wa 4-1 dhidi ya Deportivo Alavés leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Griezmann alifunga dakika ya 14, Vidal dakika ya 45, Messi dakika ya 69 na Suarez dakika ya 75 kwa penalti, wakati bao pekee la Alaves limefungwa na Pere Pons dakika ya 56 na kwa ushindi huo katika mchezo wa 18, Barca inafikisha pointi 39, tatu zaidi ya Real Madrid iliyocheza mechi 17 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI NA SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCELONA YAICHAPA ALAVES 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top