• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 16, 2019

  BENZEMA AISAWAZISHIA REAL MADRID YATOA SARE 1-1 NA VALENCIA

  Mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema akikimbia kushangilia baada ya kuisawazishia Real Madrid dakika ya 90+5 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Valencia iliyotangulia kwa bao la Carlos Soler dakika ya 78 kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Mestalla. Matokeo hayo yanamaanisha Real Madrid inaendelea kulingana kwa pointi na mabingwa watetezi, Barcelona 35 kila timu baada ya mechi 16, ingawa wanazidiwa wastani wa mabao tu kuelekea El Clasico usiku wa Jumatano 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENZEMA AISAWAZISHIA REAL MADRID YATOA SARE 1-1 NA VALENCIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top