• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 14, 2019

  SIMBA QUEENS YAENDELEZA UBABE KWA YANGA PRINCESS, YAWACHAPA 3-1 MECHI YA LIGI LEO KARUME

  Simba Queens imeedeleza ubabe kwa Yanga Princess baada ya ushindi wa 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na Mwanahamisi Omar dakika ya 13 na Neema Kilinga mawili dakika ya 35 na 86, wakati la Yanga Princess limefungwa na Shelda Boniface dakika ya 25
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA QUEENS YAENDELEZA UBABE KWA YANGA PRINCESS, YAWACHAPA 3-1 MECHI YA LIGI LEO KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top