• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 07, 2019

  UTAMBULISHO WA VIWANJA VYA MAZOEZI VYA KLABU YA SIMBA ULIVYOFANA LEO BUNJU

  Kaimu Mwenyekiti wa Simba SC, Mwina Kaduguda akihutubia mamia ya wapenzi wa klabu hiyo waliojitokeza kuonyeshwa viwanja viwili vya mazoezi vya klabu hiyo, wa nyasi bandia na halisi eneo la Bunju mjini Dar es Salaam, zoezi ambalo lilihudhuriwa na wachezaji pia   

  Gwiji wa klabu, Abdallah Athumani Seif 'King Kibadeni' akihutubia katika sherehe hiyo  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UTAMBULISHO WA VIWANJA VYA MAZOEZI VYA KLABU YA SIMBA ULIVYOFANA LEO BUNJU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top