• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 10, 2019

  SULEIMAN MATOLA ALIVYOANZA TENA KAZI SIMBA SC LEO BAADA YA KUACHANA NA POLISI TANZANIA

  Kocha Suleiman Abdallah Matola akiwa kwenye mazoezi ya Simba SC leo mjini Dar es Salaam baada ya kujiunga tena na timu hiyo kama Kocha Msaidizi akitokea Polisi Tanzania  
  Suleiman Matola ni kiungo na Nahodha wa zamani wa Simba SC, ambaye amewahi kuwa kocha wa timu ya vijana ya klabu hiyo na Kocha Msaidizi wa kikosi cha kwanza pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SULEIMAN MATOLA ALIVYOANZA TENA KAZI SIMBA SC LEO BAADA YA KUACHANA NA POLISI TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top