• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 26, 2019

  CHELSEA WAPIGWA 2-0 NA SOUTHAMPTON PALE PALE DARAJANI

  Nathan Redmond akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Southampton bao la pili dakika ya73 kufuatia Michael Obafemi kufunga ka kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA WAPIGWA 2-0 NA SOUTHAMPTON PALE PALE DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top