• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 29, 2019

  MAN UNITED YASHINDA 2-0 NA KUPANDA NAFASI YA TATU ENGLAND

  Wachezaji wa Manchester United wakipongezana kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Burnley, mabao ya Anthony Martial dakika ya 44 na Marcus Rashford dakika ya 90 na ushei jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Turf Moor. 
  United inapanda nafasi ya tano baada ya ushindi huo katika mchezo wa 20, ikifikisha pointi 31, ikizidiwa pointi moja na Chelsea na saba na Manchester City ambazo hata hivyo zina mechi moja moja mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YASHINDA 2-0 NA KUPANDA NAFASI YA TATU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top