• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 26, 2019

  COASTAL UNION YAINYAMAZISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 MKWAKWANI BAO PEKEE LA HAJI UGANDO

  Beki na Nahodha wa Coastal Union, Bakari Nondo Mwamnyeto (kulia) akimdhibiti mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga. Coastal Union imeshinda 1-0, bao pekee la Haji Ugando dakika ya 54.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAINYAMAZISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 MKWAKWANI BAO PEKEE LA HAJI UGANDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top