• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 13, 2019

  TANZANIA BARA YAENDELEA KUNG'ARA CECAFA CHALLENGE WANAWAKE U17, YAICHAPA KENYA 3-1 UGANDA

  Mabao ya Thabea Munga dakika ya 19, Joyce Meschak dakika ya 45 na Asha Masaka dakika ya 75 yameipa Tanzania Bara ushindi wa 3-1 dhidi ya Kenya katika mchezo wa Kombe la CECAFA Challenge U17 leo mjini Kampala, Uganda.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANIA BARA YAENDELEA KUNG'ARA CECAFA CHALLENGE WANAWAKE U17, YAICHAPA KENYA 3-1 UGANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top