• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 29, 2019

  KIKOSI CHA SIGARA 1991 MWANGATA NA NYALUSI YEYOTE ANADAKA

  WACHEZAJI wa kikosi cha Sigara FC kabla ya moja ya mechi zake mwaka 1991 kutoka kulia waliosimama; Patrick Mwangata, Idd Nassoro ‘Cheche’, Michael Burton, Ladislaus Shawa (sasa marehemu), Abdallah Msamba (sasa marehemu), Shaaban Ramadhan, Ramadhan Kessy, Mahmoud Nyalusi na Muscat Subeiya. 
  Kutoka kulia waliochuchuma ni Nahodha Mustapha Hoza, Abunu Issa, Abubakar Kombo, Peter Lucas, Hija Jamal (sasa marehemu), Iddi Msigala na Aziz Nyoni Njalambaya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA SIGARA 1991 MWANGATA NA NYALUSI YEYOTE ANADAKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top