• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 20, 2019

  ANDREW VINCENT CHIKUPE 'DANTE' NAYE AREJEA KAZINI JANGWANI BAADA YA KUMALIZA TOFAUTI ZAKE NA YANGA

  Beki Andrew Vincent Chikupe 'Dante' (kulia) akipeana mkono na Katibu Mkuu, David Luhago baada ya kumaliza tofauti zake za klabu na kurejea rasmi kazini kufuatia mgomo wa tangu Agosti akishinikiza alipwe malimbikizo ya fedha zake za usajili 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ANDREW VINCENT CHIKUPE 'DANTE' NAYE AREJEA KAZINI JANGWANI BAADA YA KUMALIZA TOFAUTI ZAKE NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top