• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 21, 2019

  KOCHA MPYA SIMBA ALIVYOINOA SIMBA SC MARA YA MWISHO LEO KABLA YA KUIVAA AFC KESHO UHURU

  Kocha mpya wa Simba SC, Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck (kushoto) akimpa maelekezo kiungo Mbrazil wa timu hiyo, Gerson Fraga 'Viera' kwenye mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju nje kidogo ya Jiji kuelekea mchezo wa Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya AFC ya Arusha kesho Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam   
  Kiungo Mzambia, Clatous Chama akikokota mpira Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju nje kidogo ya Jiji  
  Beki Mbrazl, Tairone Santos da Silva (kushoto) akimiliki mpira pembeni ya kiungo Mkenya, Francis Kahata leo Uwanja wa Mo Simba Arena 
  Beki mkongwe, Erasto Nyoni akitoa pasi kwa wenzake mazoezini leo Uwanja wa Mo Simba Arena 
  Beki Shomari Kapombe akinyoosha viungo mazoezini leo Uwanja wa Mo Simba Arena
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA SIMBA ALIVYOINOA SIMBA SC MARA YA MWISHO LEO KABLA YA KUIVAA AFC KESHO UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top