• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 24, 2019

  'SIMBA ONE' AISHI MANULA ALIVYO 'FITI' KUELEKEA MCHEZO WA KESHO WA LIGI KUU NA LIPULI FC

  Kipa namba moja wa Simba SC, Aishi Manula akipangua mpira mazoezini leo Viwanja vya Mo Simba Arena, Bunju mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Lipuli FC Uwanja w Uhuru
  Wachezaji wa Simba SC wakiendelea na mazoezini leo Viwanja vya Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Lipuli FC 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'SIMBA ONE' AISHI MANULA ALIVYO 'FITI' KUELEKEA MCHEZO WA KESHO WA LIGI KUU NA LIPULI FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top