• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 30, 2019

  MSHAMBULAJI YIKPE GILSLAIN GNAMIEN KUTOKA IVORY COAST ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA SC

  Mshambuliaji wa zamani wa Gor Mahia ya Kenya Muivory Coast, Yikpe Gilslain Gnamien akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga SC leo makao makuu ya klabu, Jangwani Jijini Dar es Salaam na kukabidhiwa jezi namba 9 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSHAMBULAJI YIKPE GILSLAIN GNAMIEN KUTOKA IVORY COAST ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top