• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 11, 2019

  CHELSEA YAICHAPA LILLE 2-1 NA KUTINGA 16 BORA LIGI YA MABINGWA

  Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza Chelsea dakika ya 19 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Lille kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la pili la Chelsea lilifungwa na Cesar Azpilicueta dakika ya 35, wakati la Lille lilifungwa na Loic Remy dakika ya 78 na kwa matokeo hayo, The Blues inaungana na Valencia kufuzu hatua ya 16 Bora baada ya wote kumaliza na pointi 11 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA LILLE 2-1 NA KUTINGA 16 BORA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top