• HABARI MPYA

  Friday, December 13, 2019

  GREENWOOD APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA AZ ALKMAAR 4-0

  Mason Greenwood akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika ya 58 na 64 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya AZ Alkmaar kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League usku huu Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya Man United yamefungwa naAshley Young dakika ya 53 na Juan Mata dakika ya 62 kwa penalti 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GREENWOOD APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA AZ ALKMAAR 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top