• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 30, 2019

  DE BRUYNE ASETI MOJA, AFUNGA MOJA MAN CITY YAICHAPA SHEFFIELD 2-0

  Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 82 akitoka kumpasia Sergio Aguero kufunga la kwanza dakika ya 52 katika ushindi wa 2-0 dhdi ya Sheffield United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Etihad 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DE BRUYNE ASETI MOJA, AFUNGA MOJA MAN CITY YAICHAPA SHEFFIELD 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top