• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 18, 2019

  WALLACE KARIA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA CECAFA AKIRITHI MIKOBA YA MUTASIM GAFAAR WA SUDAN

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Baraza la Vyama na Klabu za Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa kipindi cha miaka minne ijayo akmrithi Msudan, Mutasim Gafaar katika uchaguzi uliofanyika leo mjini Kampala, Uganda.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WALLACE KARIA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA CECAFA AKIRITHI MIKOBA YA MUTASIM GAFAAR WA SUDAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top