• HABARI MPYA

    Jumapili, Desemba 29, 2019

    NCHIMBI ANA HAMU NA KAZI, LAKINI YANGA ISHAWEKA MAMBO SAWA ACHEZE KESHO DHIDI YA BIASHARA?

    Mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Ditram Nchimbi akiwa hoi baada ya mazoezi magumu gym mjini Dar es Salaam jana. Bado haifahamiki kama Ditram Nchimbi aliyesajiliwa kutoka Azam FC mwezi huu baada ya kufanya vizuri akicheza kwa mkopo Polisi Tanzania kama ataanza kucheza kesho, Yanga ikimenyana na Biashara United ya Musoma mkoani Mara kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.    
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 maoni:

    Item Reviewed: NCHIMBI ANA HAMU NA KAZI, LAKINI YANGA ISHAWEKA MAMBO SAWA ACHEZE KESHO DHIDI YA BIASHARA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top