Katibu wa Yanga SC, David Luhago (kulia) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo beki wa kushoto, Adeyum Ahmad Suleiman baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili akitokea JKT Tanzania kufuatia kung'ara kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge akiwa na Zanzibar mjini Kampala nchini Uganda mwezi huu
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment