• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 15, 2019

  SHANGWE LA MOURINHO BAADA YA SPURS KUPATA BAO LA USHINDI

  Kocha Mreno, Jose Mourinho akishangilia kwa furaha baada ya Jan Vertonghen kuifungia Tottenham Hotspur bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiwalaza wenyeji, Wolverhampton Wanderers 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton, West Midlands. Spurs ilitangulia kwa bao la Lucas Moura dakika ya nane kabla ya Adama Traore kuisawazishia Wolves dakika ya 66 
    

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHANGWE LA MOURINHO BAADA YA SPURS KUPATA BAO LA USHINDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top