• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 16, 2019

  MAN UNITED NA CLUB BRUGGE 32 BORA EUROPA LEAGUE

  TIMU ya Manchester United itamenyana na Club Brugge katika hatua ya 32 Bora ya UEFA Europa League, wakati Arsenal itamenyana na Olympiacos. 
  Katika droo iliyopangwa leo mjini Nyon, Uswisi na kuhusisha timu zote tatu za England zilizofuzu kwenye michuano hiyo, Wolves itamenyana na Espanyol.  
  Wawakilishi wa Scotland, Celtic wenyewe watamenyana na Copenhagen ya Sweden wakati Rangers itavaana na Braga ya Ureno.

  Ratiba ya hatua ya 32 Bora ya UEFA Europa League iliyopangwa leo mjini Nyon, Uswisi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED NA CLUB BRUGGE 32 BORA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top