• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 02, 2019

  MAN CITY YATUMIA DAKIKA 20 KUSAWAZISHA NA KUSHINDA 2-1

  Kyle Walker akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 86 huku kiungo Pierre-Emile Hojbjerg akivuta bukta yake kwa hasira, Manchester City ikiilaza Southampton 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Southampton ilitangulia kwa bao la James Ward-Prowse dakika ya 13, kabla ya Walker kumsetia Sergio Aguero kufunga bao la kusawazisha dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YATUMIA DAKIKA 20 KUSAWAZISHA NA KUSHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top