• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 27, 2019

  TOTTENHAM YATOKA NYUMA NA KUICHAPA OLYMPIAKOS 4-2

  Jose Mourinho akipiga ngumi hewani kushangilia ushindi wa 4-2 wa Tottenham Hotspur dhidi ya Olympiacos ya Ugiriki katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Mabao ya Spurs yalifungwa na Dele Alli dakika ya 45, Harry Kane mawili dakika ya 50 na 77 na Serge Aurier dakika ya 73, baada ya Olympiacos kutangulia kwa mabao ya Youssef El-Arabi dakika ya sita na Ruben Semedo dakika ya 19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TOTTENHAM YATOKA NYUMA NA KUICHAPA OLYMPIAKOS 4-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top