• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 20, 2019

  WIJNALDUM APIGA HAT TRICK UHOLANZI YAICHAPA 5-0 ESTONIA

  Georginio Wijnaldum akishangilia baada ya kuifungia Uholanzi mabao matatu dakika za sita, 66 na 78 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Estonia usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam. Mabao mengine ya Uholanzi yalifungwa na Nathan Ake dakika ya 18 na Mryon Boadu dakika ya 87 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WIJNALDUM APIGA HAT TRICK UHOLANZI YAICHAPA 5-0 ESTONIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top