• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 17, 2019

  UJERUMANI YAIFUMUA BELARUS 4-0 MECHI YA KUFUZU EURO 2020

  Toni Kroos akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani mabao mawili dakika za 55 na 83 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Belarus kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Fainali za Euro 2020 Uwanja wa im BORUSSIA-PARK mjini Monchengladbach jana. Mabao mengine ya Ujerumani yalifungwa na Matthias Ginter dakika ya 41 na Leon Goretzka dakika ya 49 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UJERUMANI YAIFUMUA BELARUS 4-0 MECHI YA KUFUZU EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top