• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 23, 2019

  MOURINHO AANZA VYEMA SPURS YASHINDA 3-2 UGENINI DHIDI YA WEST HAM

  Kocha mpya, Mreno Jose Mourinho (kushoto) na Msaidizi wake, Joao Sacramento akifuatilia mchezo wake wa kwanza Tottenham Hotspur baada ya kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino Spurs ikishinda 3-1 ugenini Uwanja wa London katika Ligi Kuu ya England. Mabao ya Spurs yalifungwa na  Son Heung-min dakika ya 36, Lucas Moura dakika ya 43 na Harry Kane dakika ya 49 wakati ya West Ham yamefungwa na Michael Antonio dakika ya 73 na Angelo Ogbonna dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MOURINHO AANZA VYEMA SPURS YASHINDA 3-2 UGENINI DHIDI YA WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top