Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (wa pili kushoto) akipokea bendera kutoka kwa Rais wa Chama cha Soka Falme za Kiarabu (UAEFA), Mhandisi Marwan Ahmad Bin Ghalita jana Dubai baada ya mazungumzo kuhusu ushirikiano juu ya masuala mbalimbali. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidau na kulia ni viongozi wengine wa UAEFA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment