• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 18, 2019

  'KAPTENI' BOCCO AANZA KUJIFUA KUKAMILIFU TAYARI MUREJEA TENA KAZINI SIMBA SC

  Nahodha wa Simba SC, John Raphael Bocco akifanya mazoezi na wenzake leo Uwanja wa Gymkhana mjini Dar es Salaam baada ya kupona kufuatia kuwa nje kwa miezi miwili sasa kwa sababu ya maumivu  
  Kocha wa mazoezi ya viungo wa Simba SC, Mtunisia, Adel Zrane akimpa mazoezi John Bocco
  John Bocco (kushoto) akijifua na wachezaji wenzake leo Uwanja wa Gymkhana 
  John Bocco (kushoto) akijifua na wachezaji wenzake leo Uwanja wa Gymkhana  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'KAPTENI' BOCCO AANZA KUJIFUA KUKAMILIFU TAYARI MUREJEA TENA KAZINI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top